Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui nikuwekee ile picha ya Askari uliyoiweka selfika[emoji1787]Tulishapiga marufuku mambo ya kupost sembe![emoji846][emoji846][emoji846]
Inabidi nijitahidi niweze kunywa hayo maji.Body weight vs amount of water needed per day:
Huu ni mtihani mkubwa sana kwa watu wengi sana hadi kwa mtaalam wetu wa mambo ya lishe bora Bwana ndege JOHN[emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 1886843
Una kilo ngapi?Inabidi nijitahidi niweze kunywa hayo maji.
ChacheUna kilo ngapi?
Na si unajua utaratibu wa kunywa maji?Siyo unamalizia kula then unabugia maji!Chache
Nakunywa maji nusu saa baada ya kula.Na si unajua utaratibu wa kunywa maji?Siyo unamalizia kula then unabugia maji!Ukifanya hivyo unapata hasara kuliko faida.
Vipi kuhusu hii?👇Nakunywa maji nusu saa baada ya kula.
Ila kiwango Cha maji ninachokunywa ni matatizo [emoji23]
Lita 2 sifikishi kwa siku
Siwezi kunywa maji Nikiwa na njaa.Vipi kuhusu hii?[emoji116]
View attachment 1887124
Unapingana na sayansi?Siwezi kunywa maji Nikiwa na njaa.
Siwezi kunywa maji kabla sijala.
Mtakatifu unapost vitu vyangu bila kunistua!? Sio poa
Iko siku nitakutembelea! [emoji2305][emoji2305][emoji2305]
Sijapingana nayo ila nimeshindwa kuifwata.Unapingana na sayansi?
Karibu bossMtakatifu unapost vitu vyangu bila kunistua!? Sio poa
Nimeona Al - Mudhish
المذ هش!