Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh ni nini hiki mkuu, kama kitu cha Iringa vile😜
Bichwa la mbuzi hilo... 😂 😂 😂 Tamu ajabu na supu juu 😝👌Duh ni nini hiki mkuu, kama kitu cha Iringa vile😜
Umesafisha kabisa...[emoji1430][emoji12]
Duh mmelipika live bila hata kukata kata aisee😂😂 nahisi kuliogopa🙌Bichwa la mbuzi hilo... 😂 😂 😂 Tamu ajabu na supu juu 😝👌
[emoji119][emoji119][emoji119]
🤣🤣🤣Duh mmelipika live bila hata kukata kata aisee😂😂 nahisi kuliogopa🙌
Dah naomba hiyo mbeguTukimaliza ugali na vichwa tunashushia parachichi [emoji39][emoji39]View attachment 1886094View attachment 1886095
Mbn fb tenaTukimaliza ugali na vichwa tunashushia parachichi [emoji39][emoji39]View attachment 1886094View attachment 1886095
Ndo nnavyopenda hata watu wengine wale hivyo. Sio mtu anaacha mabaki tele😬😬Umesafisha kabisa...[emoji1430][emoji12]