Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Ndio... 😂 😂 😂Daaaaah mkuu ndo unatenga mbichwa wote kwenye sahani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio... 😂 😂 😂Daaaaah mkuu ndo unatenga mbichwa wote kwenye sahani
Ndio, kimekawia kwa moto sana, na pia hupasuliwa kati katiHivi kichwa Cha Mee ukikichoma kama hivi ndani kinaiva kweli?
😂 😂 😂Ukijakuta kapika wema sepetu alafu hajapika kabandika picha tu huku mwajuma ndo mpishi.
We ushahonga Range.
Yule jamaa sijui km anaendelea kuuza vihepe.
Mkija mjini mpige honi angalau
Mbn jeupe sana linautamu kweli hili
Picha tu. Huoni hata meza nyeusi tii lakini imepauka fulani kwasababu ya mwanga. Nitamu na laini sana.Mbn jeupe sana linautamu kweli hili
Hili ndio tamu zaidi!Picha tu. Huoni hata meza nyeusi tii lakini imepauka fulani kwasababu ya mwanga. Nitamu na laini sana.