Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
[emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buza kuna wahuni tupu! Kuna siku nilikwenda kununua chipsi kuku, nikamwambia muuzaji nahitaji kuku mzima. Wakati naletewa nakutana na kuku ana paja moja nawauliza kulikoni, wakanijibu kuku alikuwa mlemavu!!Buza kuna nini!?
Vidagaa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kuku kiweteBuza kuna wahuni tupu! Kuna siku nilikwenda kununua chipsi kuku, nikamwambia muuzaji nahitaji kuku mzima. Wakati naletewa nakutana na kuku ana paja moja nawauliza kulikoni, wakanijibu kuku alikuwa mlemavu!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Shughuli ya kati hiyo drafti safi kabisa!unaweza kuondoka ukaniachia ukirudi utakuta mi na samaki tushaelewana tule mboga tu ukashangaa.
🤣🤣🤣 "ndioo kuku alikua mlemavu"Buza kuna wahuni tupu! Kuna siku nilikwenda kununua chipsi kuku, nikamwambia muuzaji nahitaji kuku mzima. Wakati naletewa nakutana na kuku ana paja moja nawauliza kulikoni, wakanijibu kuku alikuwa mlemavu!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Saladi hiyo hatarisana sana umkute mpishi aijuilie mixer nyama.unaweza kula ugali Dar mpk Moro.
Nakufundisha bure...napenda ugali wa mhogo ila kupika siwezi, unakua na mabuje hadi hauliki
Hasbiyallah waneemaleakiiyl [emoji14].