Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mkuu huu msosi ni wa viwango vya hali ya juu sana.Hawa wababaishaji wa sembe akina Saint Anne wanapaswa wajifunze hapa😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huu msosi ni wa viwango vya hali ya juu sana.Hawa wababaishaji wa sembe akina Saint Anne wanapaswa wajifunze hapa😁😁😁
Siyo lazima wote tule sembe[emoji16]Mkuu huu msosi ni wa viwango vya hali ya juu sana.Hawa wababaishaji wa sembe akina Saint Anne wanapaswa wajifunze hapa[emoji16][emoji16][emoji16]
Nataka nikuseme hadi uache kula Sembe😄😄😄Siyo lazima wote tule sembe[emoji16]
Sembe siachi ng'oo.Nataka nikuseme hadi uache kula Sembe[emoji1][emoji1][emoji1]
Sembe siachi ng'oo.
Nina mpango nianze kula tena ule wa kuloweka.
Ohhhh...na nyie mmeanza kula vyakula vyetu vya kimasikini 😁Tozo zimetufikisha ukuView attachment 1903083
Wali na Dagaa [emoji777][emoji845]
Saladi hiyo hatarisana sana umkute mpishi aijuilie mixer nyama.unaweza kula ugali Dar mpk Moro.
Najua,na mara nyingi maeneo ya jeshi.huikuti sokoniTatizo ni konokono. Inalimwa kwenye maji.