Uzi wa vyakula tu

Buza kuna nini!?

Vidagaa?
Buza kuna wahuni tupu! Kuna siku nilikwenda kununua chipsi kuku, nikamwambia muuzaji nahitaji kuku mzima. Wakati naletewa nakutana na kuku ana paja moja nawauliza kulikoni, wakanijibu kuku alikuwa mlemavu!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kuku kiwete
 
🤣🤣🤣 "ndioo kuku alikua mlemavu"
Kutoka ibara ya kumi inasema kuku akiwa mlemavu ni lazima atakuwa na paja moja,kibawa kimoja mgongo mmoja kwa ibara ya katiba"
Alisikika wakili msomi kibatali akimtetea mteja wake muuza chips wa Buza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…