Uzi wa vyakula tu

Mix ya njugu, ndizi, cucumber, korosho, apple, nazi na maziwa fresh [emoji16][emoji16][emoji16]afya muhimu wakulungwa!
View attachment 1905926
Huu mchanganyiko umenikumbusha kipindi nipo chuo. Kwenye nyumba tuliyopanga kuna jamaa 2 walikuwa wanakaa chumba Cha jirani yetu. Siku moja nikakuta wameandaa msosi wa ajabu yaani, ilikuwa viazi vimepondwa vikakaangwa na mayai.......(vitu vingi na pilipili ya kutosha. Nilipowauliza jina la msosi, wakanitajia la mkuu wa chuo Prof. Bee (enzi hizo akiwa MUCCoBS).
 
Wali kuku kimtindo


Behaviourist Jana nilikula ugali na bangi..bangi Ni ule mlenda wa kusaga sema TU sikupiga pichaView attachment 1906071
Umenikumbusha kipindi naishi maisha ya gheto! One day tulipika bangi kama bangi, kama mboga tuliitia nazi ya kutosha, aisee siku hiyo ugali ulilika balaa, ila stimu zilipanda pole pole, lakini zilipokolea ilikuwa balaa!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Sio katles hizo
 
Nitatuma video one day ni rahisi sana
Samahan mkuu nilikuwa nataka ile link ya group lako la telegram la ku promote biashara tunazofanya na kutanua wigo...
Nisaidie nimeona kuja PM unaweza kuchelewa kuiona na kunijib ila hapa nyumbani jikoni lazima tu utie miguu SI unajua Tena msosi kwa siku dozi Mara tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…