ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ila nimezingua asee njaa sa Nikakuta uji wa mtoto na tundizi sijui ndo ulaji mzuri au mbovu..kmnna tumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivelege...!Sembe siachi ng'oo.
Nina mpango nianze kula tena ule wa kuloweka.
Huu mchanganyiko umenikumbusha kipindi nipo chuo. Kwenye nyumba tuliyopanga kuna jamaa 2 walikuwa wanakaa chumba Cha jirani yetu. Siku moja nikakuta wameandaa msosi wa ajabu yaani, ilikuwa viazi vimepondwa vikakaangwa na mayai.......(vitu vingi na pilipili ya kutosha. Nilipowauliza jina la msosi, wakanitajia la mkuu wa chuo Prof. Bee (enzi hizo akiwa MUCCoBS).Mix ya njugu, ndizi, cucumber, korosho, apple, nazi na maziwa fresh [emoji16][emoji16][emoji16]afya muhimu wakulungwa!
View attachment 1905926
Umenikumbusha kipindi naishi maisha ya gheto! One day tulipika bangi kama bangi, kama mboga tuliitia nazi ya kutosha, aisee siku hiyo ugali ulilika balaa, ila stimu zilipanda pole pole, lakini zilipokolea ilikuwa balaa!!Wali kuku kimtindo
Behaviourist Jana nilikula ugali na bangi..bangi Ni ule mlenda wa kusaga sema TU sikupiga pichaView attachment 1906071
Kama nakuona ulivyochekelea 😂View attachment 1906289
Leo nimeipata kariakoo Sokoni
Sio katles hizoHuu mchanganyiko umenikumbusha kipindi nipo chuo. Kwenye nyumba tuliyopanga kuna jamaa 2 walikuwa wanakaa chumba Cha jirani yetu. Siku moja nikakuta wameandaa msosi wa ajabu yaani, ilikuwa viazi vimepondwa vikakaangwa na mayai.......(vitu vingi na pilipili ya kutosha. Nilipowauliza jina la msosi, wakanitajia la mkuu wa chuo Prof. Bee (enzi hizo akiwa MUCCoBS).
Samahan mkuu nilikuwa nataka ile link ya group lako la telegram la ku promote biashara tunazofanya na kutanua wigo...Nitatuma video one day ni rahisi sana
Hivyo vijiko vya kichina huwa navikubali sema tu najindwa kutumia.
Nyanya haujazipika vizuri......Miradi ya vitambiView attachment 1869320
Safi. Me nikila hapa siwezi kula tena mchana. Ila kwa hii kitu ujiandae balaa lakeSoft food(chakula chepesi) mchanganyiko wa chai, maziwa na na cafe (capuchin) mayai na mkate wa ngano ya shihiri, tosha kabisa!
View attachment 1869375
Mboga nyingi hiyo ongeza ugaliSamaki matembere mixer ugali humohumo
Me si mjubaView attachment 1907276
Ngoja niingie youtube nijifunze kuvitumia.Ukishavizoea ni ngumu kutumia vijiko