Bado tuuHapa nasubiri sekela...[emoji41]
Nahisi kamalizaBado tuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106]Nahisi kamaliza
Chips na uji?!
Hii kitu nimeshindwa kula kabisa
Karibuni Bungo
Ina namna ya kuandaa, mwanzo pia sikuweza mpaka nikafundishwa jinsi ya kukitengeneza natia hadi pilipili [emoji23]Hii kitu nimeshindwa kula kabisa
Nifundishe na mie basi...Ina namna ya kuandaa, mwanzo pia sikuweza mpaka nikafundishwa jinsi ya kukitengeneza natia hadi pilipili [emoji23]
NyamaaaaWale wa maeneo ya sinza...karibuni haya maeneo yetu
Doh mate yamenijaa mdomoni, ni nyama mbuzi hyo?Wale wa maeneo ya sinza...karibuni haya maeneo yetu
Mbuzi hiyo...hapo kuna salala na mbavuDoh mate yamenijaa mdomoni, ni nyama mbuzi hyo?
Wap hyo mzee?naona meza kama za meedaMbuzi hiyo...hapo kuna salala na mbavu
Unalichokoa chokoa kwanza sana kwa kidole kama vile unalikoroga hivi mpaka linatengeneza uji flani. Ukipata na pilipili freshNifundishe na mie basi...
Sinza kumekucha opposite na golden park hotelWap hyo mzee?naona meza kama za meeda
Ok nimekupata mkuu, ngoja niandae tumbo jioni ntakuepo karibu na maeneo hayoSinza kumekucha opposite na golden park hotel
Supu ya nini hii mkuu?Naam