Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

859afe50b6b484b82ce9761612ffe5e5.jpg
kabla
 
Uma na kisu vinatumikaje hapo....?!

Kwann sio kijiko au ndio wa afrika kaliba yetu ya kupenda kuleta uzungu hata sehemu ambapo tunakuwa tumechanganya utaratibu?!

Me ningeomba kijiko hapo
Mkuu hivyo huwa vipo tu mahotelini utavikuta juu ya Meza,
 
Uma na kisu vinatumikaje hapo....?!

Kwann sio kijiko au ndio wa afrika kaliba yetu ya kupenda kuleta uzungu hata sehemu ambapo tunakuwa tumechanganya utaratibu?!

Me ningeomba kijiko hapo
Itakuwa alitumia kulia na kupunguza ukubwa wa hizo njegere. Nawaza tu
 
Back
Top Bottom