Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Chai na kiporo [emoji39]
9128bbdf11e8112489526def94aa383c.jpg
 
Ndiyo ila kuna picha ya supu ya pweza iliwekwa na ilinikumbusha mbali sana, baada ya kucomment ndipo Dokta wetu mpendwa asiye na posho (mshana jr) alinipa dozi ya kienyeji ambayo kwangu imekuwa na side effect mbaya sana. Leo ni siku ya nne bado nimedinda tu na kutoka nje naona haibu, nataka dawa mbadala ya kushusha dushe lilerejee katika hali ya kawaida.
Dozi gani hiyo mkuu nipe na mm huo ujuzi
 
Back
Top Bottom