ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ziko aina tofauti mkuu, ila lile ndo full sukari, nishalila sana. Ni peshine kama hayo mengine, mbegu ndo tofauti nadhani, si waelewa tena kuna yale makubwa ya ngozi ya Yellow, mara nyingi huwa uchungu vile, alafu pia na hayo ume post hapo, then hayo ya sukari. Ni aina tofauti tofauti tuSiyo pesheni fruit.Pesheni fruit ni hili hapa👇Huoni ni tofauti kabisa na hilo tunda hapo?Hilo hapo juu ndani kunakuwa ni kweupe lakini pesheni ndani siyo kweupe.
Halafu pesheni lina kauchachu fulani hivi kwa mbali lakini hilo ni full sukari.
View attachment 1921105View attachment 1921107
Unataka tengeneza sausage...bongo kupata hzo mtihan...Habari za asubuhi wakuu.
Naomba kujuzwa wapi nawezapata/nunua "edible collagen sausage casings".
Asante, nawatakia asubuhi na majukumu mema.
Dona sitak isikia ilitaka nipa bawasilKwani mimi naelekeza watu wale dona lenye vumbi?Maelekezo yangu ni kwamba watu waandae mahindi yao nyumbani vizuri ikiwa ni pamoja na kuyaosha kwa maji safi halafu wakayasage wao wenyewe.Kitu kizuri ni gharama.
Menu zako ni nzur tatzo siwez shiba yan.daah..portion kiduchu
We mwanaume bana so obviously portion yangu haikutoshi. Siku nikikualika utajipakulia mwenyewe 🤓🤓Menu zako ni nzur tatzo siwez shiba yan.daah..portion kiduchu
Ina maana naweka viungo vyote kama kawaida halafu ndo unaya soak kwa maziwa after 10 mn ndo unayaweka moto!?Soak maini kwenye maziwa kwa 10mnts utapata ya taste amazing
Nimekuelewa mkuu.Ni kama vile kulivyo na Nyati,Ng'ombe wa kufugwa,Pofu,Nyumbu na kadhalika.Ni species wanaokaribiana.Ziko aina tofauti mkuu, ila lile ndo full sukari, nishalila sana. Ni peshine kama hayo mengine, mbegu ndo tofauti nadhani, si waelewa tena kuna yale makubwa ya ngozi ya Yellow, mara nyingi huwa uchungu vile, alafu pia na hayo ume post hapo, then hayo ya sukari. Ni aina tofauti tofauti tu
Wewe unakula dona bila ya kuzingatia kanuni za kula kama vile kula matunda,kunywa maji nusu saa kabla ya kula ili kurahisisha mmeng'enyo wa chakula pamoja na choo salama,kula matunda,mboga za majani,kubadilisha aina ya vyakula mara kwa mara na kadhalika halafu unalialia juu ya bawasiri?Wewe unafikiri kuwa dona ni Mungu?Tena dona lipo kama Cement usipozingatia kanuni za kula vyakula linaziba choo!Dona sitak isikia ilitaka nipa bawasil
kambuzi kamenona..Leo si nusu siku, hamjatoka bado mje tule?
View attachment 1922401
hapana unafanya kama unayaosha kwa maziwa ila unayaacha humo kwa dakika kadhaaIna maana naweka viungo vyote kama kawaida halafu ndo unaya soak kwa maziwa after 10 mn ndo unayaweka moto!?