Safi mkuu..hongera sana,kachape kazi.Nishapata mzee Mungu Ni mwema katibu wa wizara kashaelekezwa next week anipe kituo nikatafune nyama asee na maafisa wengine
Umenikumbusha maisha ya boarding [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asubuhi ukipata hii, sio vibayaView attachment 1931393
Naomba unielekeze namna ya kuandaa fish finger, nazipenda balaa!!Ohhhh sikuwahi tumia breadcrumbs, ajabu nikifanya fish/chicken fingers natumia breadcrumbs na napata crunchiness nzuri sana, sijawahi fikiria kwenye KFC style, i'll try again, thank you mamasita.
Recipes pls [emoji848]
Wanaiga waarabu. Hujaiona zile clip zao za wali na mnyama msinia huooooStyle hii ya ulaji ni mpya!View attachment 1929989View attachment 1929990
[emoji51][emoji848]
Zamani sana kuna unga fulani nlikua nanunua supermarket huku zenji. Upo spiced tayari. Yaani huo ulikuwa bomba sana. Wanakuwa very crispy.Hii kitu ngoja tuombe muongozo toka kwa
Cc angel Nylon
Kabisa yaani. Naunga mkonoMkuu hicho kipaja hujakitendea haki