Lizzy upo kwenye diet nini maana portion unayokulaga ni kidogo sana
Nimevimisije
Najaribu 🙈🙈Lizzy upo kwenye diet nini maana portion unayokulaga ni kidogo sana
Mzee wa baniKama unayajua yote haya nitajie top five ya vyakula bora duniani vya muda wote.
Mitaa yetu pale M nyamala A jioni mubashara vitu hivi.
We acha tu nshapoa anyway 😁🤣🤣Pole... 😂 😂 😂
Miaka ya 80 nilitafuna hiyo Singidani ndani ndani huko.Nadhani ni kama mboga ya damu..au nakosea?[emoji1745]
Niliwahi ona miaka ya nyuma kule vijijini kwetu baadhi ya watu wakipika.
Wanaipika damu tu.
Tangulia kituoni tu mkuu pale obay panakufaa muulizie afande musa,tumalize kesi yako ya mauaji.Na hiki chakula tayari kimesha rip.. Hakiko tena duniani
Hahahaha[emoji23]Mitaa yetu pale M nyamala A jioni mubashara vitu hivi.
Siku nina hangover hatari kula sili natapika tu mshkaji akaja kanikuta hivyo akanishtua twende A pale dawa ipo e bana kanunua vimishkaki vya 50 enzi hizo vya buku mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ikawa ni choma mitano,tupe saba lete kumi,pasha hiyo.
Baada ya hapo kino MK sijui hata h over iliishia wapi.ikawa lete bapa tukakesha tena[emoji23][emoji23][emoji23]