Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Screenshot_20210916-150308.jpg
 
Mitaa yetu pale M nyamala A jioni mubashara vitu hivi.
Siku nina hangover hatari kula sili natapika tu mshkaji akaja kanikuta hivyo akanishtua twende A pale dawa ipo e bana kanunua vimishkaki vya 50 enzi hizo vya buku mbili🤣🤣🤣.
Ikawa ni choma mitano,tupe saba lete kumi,pasha hiyo.
Baada ya hapo kino MK sijui hata h over iliishia wapi.ikawa lete bapa tukakesha tena😂😂😂
 
Nadhani ni kama mboga ya damu..au nakosea?[emoji1745]
Niliwahi ona miaka ya nyuma kule vijijini kwetu baadhi ya watu wakipika.
Wanaipika damu tu.
Miaka ya 80 nilitafuna hiyo Singidani ndani ndani huko.
Ngombe alipigwa sindano ya shingo damu ikakingwa kwenye chungu ikapashwa nikapewa kula.
Dk 30 nyingi😁.
Nikapewa togwa kwaheri
 
Mitaa yetu pale M nyamala A jioni mubashara vitu hivi.
Siku nina hangover hatari kula sili natapika tu mshkaji akaja kanikuta hivyo akanishtua twende A pale dawa ipo e bana kanunua vimishkaki vya 50 enzi hizo vya buku mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ikawa ni choma mitano,tupe saba lete kumi,pasha hiyo.
Baada ya hapo kino MK sijui hata h over iliishia wapi.ikawa lete bapa tukakesha tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha[emoji23]
 
Back
Top Bottom