Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Kuna masala yake special. In powder form. Tandoori masala.Food lovers mpo? Naomba kufahamishwa viungo vya kuchomea kuku sekela kama pale lumumba grill, Rissa BBQ na baadhi ya wahindi wanaopika chips pale maeneo ya posta.
Natanguliza shukran
Ntumee. Tutavimbiwa [emoji1787]
aah Asante umenikumbusha mbali😀, itabidi nirudieeMchemsho unavutia na kutamanisha.
Ohhhh asante sana, barikiwa na jumapili.Una roho nzuri sana mkuu wa kutoa msaada wa recipe kama mtu akikuomba endelea na moyo huo huo
Mimi simshauri mtu ale na kunywa hii kitu. Hatari sana mwilini.
Ulipo nipooo
Njoo na soda yoyote ya baridi 🙂Ulipo nipooo
Fanta orange first choiceNjoo na soda yoyote ya baridi [emoji846]
Right on point 🤗Fanta orange first choice
Vitunguu swaumi, nyanya, tomato paste, carrot na hoho.