Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Food lovers mpo? Naomba kufahamishwa viungo vya kuchomea kuku sekela kama pale lumumba grill, Rissa BBQ na baadhi ya wahindi wanaopika chips pale maeneo ya posta.

Natanguliza shukran
Kuna masala yake special. In powder form. Tandoori masala.

Na yapo aina (brand tofauti tofauti) the higher the price the better.
 
20210925_203233.jpg
 
Back
Top Bottom