Mbona kama unatudiss mkuu 😂Ni mwendo wa kula ili tushibe,hayo mengine tuwaachie waleee..View attachment 1956048
Hicho chakula ni Cha mchana au jioni? au upo kwenye diet maalum? Na ndo unakula kila siku quantity hiyo hiyo au inayofanana na hiyo?
Hahah Kuna wenzako icho ni Cha kuonja hhahh...Ni mwendo wa kula ili tushibe,hayo mengine tuwaachie waleee..View attachment 1956048
Cha jioni mkuu.Hicho chakula ni Cha mchana au jioni? au upo kwenye diet maalum? Na ndo unakula kila siku quantity hiyo hiyo au inayofanana na hiyo?
Unakuja lini kwangu sasaMimi chakula nilichopika mwenyewe au alichopika mtu ambaye tayari nishazoea chakula chake nyumbani huwa sili sana.
Kweli kabisa,jikoni tunashiba harufu.
Ila nikienda ugenini kwa watu[emoji39][emoji39] nakula mara 2 ya ninavyokula nyumbani
WeekendUnakuja lini kwangu sasa
Uwiiiiiii!Vyakula nivipendavyo mimi.
Haha poaWeekend
Andaa hotpot 2[emoji39][emoji39][emoji39]
Kuna masala yake special. In powder form. Tandoori masala.
Na yapo aina (brand tofauti tofauti) the higher the price the better.
MDAU, wewe na Zege dam dam
Hiyo JUISI ni nzuri sana ila tatizo lake ni moja tu, kila ukienda haja ndogo, haja ndogo inatoka rangi ya Beetroot. Na mbaya zaidi inakuchukua hadi siku mbili haja ndogo kurudi kwenye rangi yake ya kawaida.Miraculous ABC drink..😋
View attachment 1689769
Yuko vizuri sanaView attachment 1956519
Mama ntilie
Miraculous ABC drink..[emoji39]
View attachment 1689769
KaribuMDAU, wewe na Zege dam dam