Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ni mwendo wa kula ili tushibe,hayo mengine tuwaachie waleee..
IMG_20210928_135727_021.jpg
 
Kuna masala yake special. In powder form. Tandoori masala.

Na yapo aina (brand tofauti tofauti) the higher the price the better.

Pia niliona wanakaanga kitunguu kinaanza kuungua Hivi wanamwagia kwenye kuku
 
Back
Top Bottom