Pole sana Kiongozi.Ndugu zanguni habarini za mchana ? Nimefanyiwa oparesheni ya kwenye utumbo wangu hivi napaswa kutumia vyakula gani maana na nina wiki ya pili sasa na kuna baadhi ya vyakula naogopa kuvitumia nikihisi vitaniletea madhara .
Karibu kwa mchango wenu.
Safi sanaMDAU, raha ya MABOGA kula na Maganda yake.
Usitupe Maganda.
Karibu zegeHivi ndio vyakula.
Matonge yanateleza kiulaini.
Ndomana hupungui dia zege asubuhi asubuhiKaribu zegeView attachment 1958960
[emoji38][emoji38]Ndomana hupungui dia zege asubuhi asubuhi
Kama kawaida yako MDAU, ahsante nimeshakaribia kwa MachoKaribu zegeView attachment 1958960
MDAU Lizzy kwenye ubora wake
Mboga zilizofikishwa kilingeni wiki hii
Dah! Ni kama mimi hapa. Kato uko poa? [emoji8]Yan had nivisugue na chumvi ile mimaji yake ipungue kabisaaaaaa ndio nakula tofauti na hapo sili rafiki
Kumbe ndio maana vijiwe vya kahawa huwa wanakonda! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]Faida za kunywa kahawa[emoji847][emoji847][emoji847]
View attachment 1949365
Nitajaribu.Katakata boga weka chumvi mafuta kidogo kama Una olive oil itakua bora zaidi weka pilipili mtama na ya unga kidogo Saumu changanya vyote tia kwenye oven
Hakiungui ni caramelized onion.Pia niliona wanakaanga kitunguu kinaanza kuungua Hivi wanamwagia kwenye kuku