HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Pole sana Kiongozi.Ndugu zanguni habarini za mchana ? Nimefanyiwa oparesheni ya kwenye utumbo wangu hivi napaswa kutumia vyakula gani maana na nina wiki ya pili sasa na kuna baadhi ya vyakula naogopa kuvitumia nikihisi vitaniletea madhara .
Karibu kwa mchango wenu.
Ni mwaka mmoja na siku kumi na tatu mpaka kufikia hii leo.
Natumai sasa umepona na unaendelea vizuri