Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ndugu zanguni habarini za mchana ? Nimefanyiwa oparesheni ya kwenye utumbo wangu hivi napaswa kutumia vyakula gani maana na nina wiki ya pili sasa na kuna baadhi ya vyakula naogopa kuvitumia nikihisi vitaniletea madhara .

Karibu kwa mchango wenu.
Pole sana Kiongozi.

Ni mwaka mmoja na siku kumi na tatu mpaka kufikia hii leo.

Natumai sasa umepona na unaendelea vizuri
 
MDAU, raha ya MABOGA kula na Maganda yake.

Usitupe Maganda.

2532883_20200928_152703.jpg
 
Katakata boga weka chumvi mafuta kidogo kama Una olive oil itakua bora zaidi weka pilipili mtama na ya unga kidogo Saumu changanya vyote tia kwenye oven
Nitajaribu.

Mapishi haya yanatufaa sisi tusiojua kupika, na faida nyingine Mapishi haya yanaokoa Muda
 
Back
Top Bottom