Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
PoleeUwiiiiiiiiiiiiii[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Shaka hakuna KiongoziMkuu kila ukitupia hutu tududu usiache kunialika tafadhali[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1545]
Mchemsho huu kwa jinsi ulivyoenda Shule, hapa ULAFI unanihusu tena sana.
Unamjulia KAA jinsi ya kumla, safi sana
Napenda chapati sana ila upishi wake umenikataa bado yani
Samahani hii ni mihogo?
Mlo kamili. Safi sana mkuu
Duh hizo pilipili sipati picha. πππ
Bloo namna hii utakuja kufa bloo..kabich na ndiz
Hapo umekosa maharage tuView attachment 1956519
Mama ntilie