[emoji23][emoji23][emoji23]inaoshwa,,inaanikwa juani kaz inaendeleaKunguru kanyea breakfast [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1986721
Mbombo ngafu!
[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kunguru kanyea breakfast [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1986721
Wewe kama mimi huwa nakuja kwenye huu uzi kutafuta njaa.Natafuta njaa jamani mpo humu?supu kuku la kienyeji limeiva mi natunga sheria tu.
Mliobarikiwa kula kuleni haswa mtufidie na sisi.
Tips: 1; Akandie butter au margarine yoyote, dough liwe laini lakini lisilonata mikononi wala sehemu ya kusukumia (tunasema dough limeiva)missyrose, Lizzy, Angel Nylon, farkhina, binti kiziwi, The Happiness, Saint Anne, na Mafundi wengine wote.
Tunaomba msaada wenu tafadhali.
#3Tips: 1; Akandie butter au margarine yoyote, dough liwe laini lakini lisilonata mikononi wala sehemu ya kusukumia (tunasema dough limeiva)
2; Asikate chapati ndogo ndogo/ nyembamba, Chapati zake ziwe zina kauzito fulani, sio kama zile za kwa mama niwekee.
3; achomee butter au hata mafuta ya kawaida, ila pan inaweza mbadilishia matokeo, atafute pan moja nzito na non stick.
Vikorombwezo vingine kama kukandia maziwa au nazi havibadili muonekano bali zinaongeza ladha. Btw, Hizo chappo kwenye picha mwenye nazo hongera zake, mimi zangu ni nzuri lakini sio kama hizo za kwenye picha nadhani nimeshaweka picha humu za chappo moja au mbili.