Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Aisee itabidi nitoke huku Mwakaleli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heaven Sent Mamdogo hebu njoo unaitwa huku.
View attachment 1988665
Hii inaitwa Birian, mtaani ndani ndani huko.
Kuna bidhaa inaenda kwa jina la Mandi...inasumbua kama PGO.
Aisee itabidi nitoke huku Mwakaleli
Ka night fulani hivi[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1988711
Asee yani unaagiza chakula cha mtu mmoja tu kije kwa nauli ya 8000 sasa chenyewe ni bei gani?Rafiki yangu wewe na hela!
Mandi kuna mahali naifukuziaga ijumaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku ya kwanza nimeona bango kuuubwa, wanachoma minyama ya sampuli zote na nilikua na njaa kama Manenge na Mandawa, nikasogea nikaambiwa Mandi iko tayari. Nikasema nstaka ya mbuzi...nilijua Mandi ni aina ya nyama ya mbuzi wanavyoichoma kumbe ni ule ubwabwa, wakaniletea na mijani jani yao hapo na mpunga ulivyo biriani sio biriani, pilau sio pilau, sema nilifurahia vile vi zabibu. Nikawaambia kwahiyo ndio mkaniwekea na majani nile ili niwe kama Mbuzi?
Ribs 🤤🤤🤤
Ina-apply kwenye chakula tu 😁Sooo it doesn't matter where I get my appetite, but I will always eat at home?