Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Lizzy karibu kwa chakula my dear [emoji39]
IMG_20190706_213238_3.jpg
 
Mandi kuna mahali naifukuziaga ijumaa

Siku ya kwanza nimeona bango kuuubwa, wanachoma minyama ya sampuli zote na nilikua na njaa kama Manenge na Mandawa, nikasogea nikaambiwa Mandi iko tayari. Nikasema nataka ya mbuzi...nilijua Mandi ni aina ya nyama ya mbuzi wanavyoichoma kumbe ni ule ubwabwa, wakaniletea na mijani jani yao hapo na mpunga ulivyo biriani sio biriani, pilau sio pilau, sema nilifurahia vile vi zabibu. Nikawaambia kwahiyo ndio mkaniwekea na majani nile ili niwe kama Mbuzi?
 
Siku ya kwanza nimeona bango kuuubwa, wanachoma minyama ya sampuli zote na nilikua na njaa kama Manenge na Mandawa, nikasogea nikaambiwa Mandi iko tayari. Nikasema nstaka ya mbuzi...nilijua Mandi ni aina ya nyama ya mbuzi wanavyoichoma kumbe ni ule ubwabwa, wakaniletea na mijani jani yao hapo na mpunga ulivyo biriani sio biriani, pilau sio pilau, sema nilifurahia vile vi zabibu. Nikawaambia kwahiyo ndio mkaniwekea na majani nile ili niwe kama Mbuzi?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom