Uzi wa vyakula tu

Wife material, [emoji39][emoji39][emoji39] bado najipanga nimalizane na kaka yako. Maana najua nikiacha buku kwa siku home mambo yanakwenda vizuri tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
[emoji28][emoji1787]
Nilipika nyingi tu,basi tu nilimegua ninazoweka kumaliza.

Usije ukadhani nabana matumizi ,mimi siyo waifu matirio
 
[emoji28][emoji1787]
Nilipika nyingi tu,basi tu nilimegua ninazoweka kumaliza.

Usije ukadhani nabana matumizi ,mimi siyo waifu matirioView attachment 2025639
Swala sio kubana matumizi bali hata nikikuachia buku, maisha yanakwenda!
Nampenda sana mtu anaejipimia kiasi cha chakula na aie anaejijazia kisha hamalizi na kukimwaga!!
 
Swala sio kubana matumizi bali hata nikikuachia buku, maisha yanakwenda!
Nampenda sana mtu anaejipimia kiasi cha chakula na aie anaejijazia kisha hamalizi na kukimwaga!!
Hata jero tu maisha yanaenda[emoji38]

Hapo ujue kuna sehemu utacompansate,,kama siyo kwenye nguo basi ni kwenye kunukia.
 
Ewaaaraaa.

Namixigi yote yale madude yote ,udi+ marathon ya kuogea +perfumes.

Hela ambayo ningekula kuku naitumia huko.

Kwahiyo shughuli ni ileile [emoji16]
Hela nitakayoiacha nyumbani ni kwa matumizi ya nyumbani tu, hayo mazaga zaga nitakuwa nakununulia mwenyewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…