Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
UwiiiiiHiyo Chips Dume inavutia.
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UwiiiiiHiyo Chips Dume inavutia.
![]()
[emoji39][emoji39][emoji39] Wallahi nakuja Mbagala, nipo kwenye daladala! Hivi nishukie wapi? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Hadi kieleweke[emoji4]Unajitahidi[emoji12]
Nimependa
Nawapenda sana hawa dagaa, kila siku usiku nakula hawa dagaa,Viazi vitamu,parachichi,chai ya tangawizi na maharage au njegere.
Hao ndio mpango mzima yaniNawapenda sana hawa dagaa, kila siku usiku nakula hawa dagaa,Viazi vitamu,parachichi,chai ya tangawizi na maharage au njegere.
Nimetimiza azma yangu.[emoji23]Kapike tu mama. Hamna namna...
Wife material, [emoji39][emoji39][emoji39] bado najipanga nimalizane na kaka yako. Maana najua nikiacha buku kwa siku home mambo yanakwenda vizuri tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]Nimetimiza azma yangu.View attachment 2025373
[emoji28][emoji1787]Wife material, [emoji39][emoji39][emoji39] bado najipanga nimalizane na kaka yako. Maana najua nikiacha buku kwa siku home mambo yanakwenda vizuri tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Swala sio kubana matumizi bali hata nikikuachia buku, maisha yanakwenda![emoji28][emoji1787]
Nilipika nyingi tu,basi tu nilimegua ninazoweka kumaliza.
Usije ukadhani nabana matumizi ,mimi siyo waifu matirioView attachment 2025639
Hata jero tu maisha yanaenda[emoji38]Swala sio kubana matumizi bali hata nikikuachia buku, maisha yanakwenda!
Nampenda sana mtu anaejipimia kiasi cha chakula na aie anaejijazia kisha hamalizi na kukimwaga!!
Hapo kwenye kunukia nitakununulia mwenyewe kutoka Zenji [emoji2377]Hata jero tu maisha yanaenda[emoji38]
Hapo ujue kuna sehemu utacompansate,,kama siyo kwenye nguo basi ni kwenye kunukia.
Ewaaaraaa.Hapo kwenye kunukia nitakununulia mwenyewe kutoka Zenji [emoji2377]
Hela nitakayoiacha nyumbani ni kwa matumizi ya nyumbani tu, hayo mazaga zaga nitakuwa nakununulia mwenyewe!!Ewaaaraaa.
Namixigi yote yale madude yote ,udi+ marathon ya kuogea +perfumes.
Hela ambayo ningekula kuku naitumia huko.
Kwahiyo shughuli ni ileile [emoji16]