Uzi wa vyakula tu

Uliiona wapi rafiki? Hakuna pisi kali yenye kitambi rafiki, itakua uliyoiona sio picha yangu

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Niliona kule selfika rafiki.Halafu humble mwenye roho yake nzuriπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ

Kitambi ni kuzidiwa tu mbinu kwa muda ila haiondoi upisi kali.
 
Niliona kule selfika rafiki.Halafu humble mwenye roho yake nzuri[emoji85][emoji85][emoji85]

Kitambi ni kuzidiwa tu mbinu kwa muda ila haiondoi upisi kali.
Mbona unanisifia sana rafiki unataka kuniomba nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Asante rafiki [emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Mbona unanisifia sana rafiki unataka kuniomba nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Asante rafiki [emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Rafiki mimi nitavumilia yanipite kwa sababu siwezi kuwa na kila kizuri kwenye dunia hii.Nitakaza moyo niyashinde majaribuπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…