Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_20211208_130023_173.jpg
 
Binadamu yoyote yule anaekula chakula bila ya kuangalia na kuzingatia chakula hicho kinampatia kitu gani mwilini mwake na kwa kiwango gani kwa maana ya Vitamins,Madini,Proteins,Fibres,Wanga,Maji pamoja na Fats ni binadamu mfu.
 
Binadamu yoyote yule anaekula chakula bila ya kuangalia na kuzingatia chakula hicho kinampatia kitu gani mwilini mwake na kwa kiwango gani kwa maana ya Vitamins,madini,proteins,fibres,wanga,maji pamoja na fats ni binadamu mfu.
Tatizo ni tekelonojia mkuu. Ni ngumu kwa tulio bush huku au hata town kuweza kujua portions za vyakula na calories zake e.t.c

Inabidi nyie madokta mtuletee elimu ya jinsi ya kuweza kupima portions. Maana sisi huwa tunajaza sahani mlima kama stockpile
 
Mimi siyo dokta ila ni mdau ninaependa kufuatilia masuala.

Haina umuhimu sana wa kujua portions.Cha muhimu kabisa ni kujua yale makundi saba ya mlo kamili na kuhakikisha kuwa unakula vyakula vya makundi hayo mara kwa mara bila kukaa muda mrefu bila kula kundi la chakula fulani.
 
Portions ni muhimu pia chief. Unapokula in excess to what is required nayo ni harmful.
 
Back
Top Bottom