Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana.View attachment 716220kwa wale wasukuma na wanyamwez mtakuwa mmeelewa ugar na msusa na nyanya chungu
Napenda njegere zikitiwa nazi
Hawa sasa kwa mchuzi wa nazi wenye nyanya chungu na ugali. Ila hata ukiwa na kachumbari ilokolea ndim ugali unashuka. Dah sjala miaka mingi sana
Usuzi wake [emoji91]
Hiyo mboga naipendaga sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunatafuta njaa bandugu leteni nkaa,kuna mjamaa humu ye alianza na kula mikuku tu mara siku hizi analeta mambo ya vitamin,veggie na upuuzi mwingine.
Lete picha za misosi tu hatujaja kuhutubiana humu nyau we.
Miss naomba nije nipumzike kwako...wiki mbili tu
Whatever manBinadamu yoyote yule anaekula chakula bila ya kuangalia na kuzingatia chakula hicho kinampatia kitu gani mwilini mwake na kwa kiwango gani kwa maana ya Vitamins,Madini,Proteins,Fibres,Wanga,Maji pamoja na Fats ni binadamu mfu.
Rafiki kumbe upo hai?Ngoja upatwe na cancer ndipo utakaposema "whatever man"!Whatever man
Anataka kuomba mzigo rafikiMbona unanisifia sana rafiki unataka kuniomba nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Asante rafiki [emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app