Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malegendary tu ndio tunavijua hivyo vijiko vya jani
Hahahahaaa. Hapana hawezi huyoAnataka kuomba mzigo rafiki
Wewe hicho kitambi ulipata lini?Uliiona wapi rafiki? Hakuna pisi kali yenye kitambi rafiki, itakua uliyoiona sio picha yangu
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Sasa hii unatakiwa kuila wakati siku ya pili unapanda basi kuelekea mkoani [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Nimekipata jana. Raha zimenizidia kwa udhamini wa watu wa Mafia [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe hicho kitambi ulipata lini?
Kama bi hivyo sawa.Nimekipata jana. Raha zimenizidia kwa udhamini wa watu wa Mafia [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Oyeeeeee. Mafia tena jamani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nipo huku ile kesho nakuja mjini. Natumaini hautafichwaKama bi hivyo sawa.
Mafia oyeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu leo nilikuwa Zenji sema sijakaa Sana nikageuza; au Uko mafia? [emoji23][emoji23][emoji23]
uneza kuwa ulikwenda kusherekea miaka 60 alafu hukurudi[emoji23][emoji23][emoji23] hivi ningekuwa nafichwa tungeweza kula bata namna ile tulivyoo kaa wiki? ; siku hizi niko huru japo huamini.Oyeeeeee. Mafia tena jamani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nipo huku ile kesho nakuja mjini. Natumaini hautafichwa
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Karibu my dear..anytime [emoji4]Miss naomba nije nipumzike kwako...wiki mbili tu