Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Oh next time nitajitahidi kupunguza kidogo mkaa.Umezidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh next time nitajitahidi kupunguza kidogo mkaa.Umezidi
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakuja naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu nilimuomba anilete leo,hajatokea hadi muda huu.
Nyama ndizi sio ndizi nyama[emoji16]Mbona sio nyingi
Au una familia kubwa ,ukiwa na familia kubwa changamoto kidogo
Hii ni juzii na kama una familia huwezi kula siku tatu bana
View attachment 2040384
Sasa nilivyokuwa mdogo nilikuwa napenda sana mafuta ya samli ila hapa juzi kati nimekula chapati zimeekewa mafuta ya samli zikanishinda kabisa Na kutapika juuMimi aliyenifundisha kutumia samli ndio alimaliza kila kitu. Za kumimina mimi mwenyewe sijui halafu sio mpenzi ila hizi zako zimenivutiaa
😂Nyama ndizi sio ndizi nyama[emoji16]
Nilishajua Dina kwakweli shukrani kwa baba watoto kunifundisha kupika chapati nzuriMie mwenzenu sijui kupika chapati za kusukuma mpaka leo ila za kumimina nimo tu Evelyn Salt mwenzangu ushajua ??? Au ndio mikate ya yesu
Za hivi ukiniambia napika tu haraka au kalimati lakin vitu vya kukanda na kusukuma aiseee
View attachment 2040411
View attachment 2040415
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mtu ni wa kuchapa fimbo
Eeeee naomba picha siaminiNilishajua Dina kwakweli shukrani kwa baba watoto kunifundisha kupika chapati nzuri
Kuna sehemu nipo nakunywa green juice, kwa nyuma yangu kuna mteja nasikia analalamika kuwa kapunjwa pilau😁😁😁Sasa si unaona..hii si nusu kabisa hii jamani. Halafu anakuja Behaviourist na mabango yake ya vitamin kutuhubiria. Sie wengine tunakula kushiba tu jamani mambo ya vitamin tunawaachieni ninyi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
👉Unga wa ngano 1/4[emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji122][emoji120]nimejitahidi kufuata hizi procedure japo nimechemka kwenye unga.[emoji117]Unga wa ngano 1/4
[emoji117]Sukari 1/4 (unaweza punguza kidogo)
[emoji117]Margarine (blueband) 1/4
[emoji117]Mayai 4-5 (kulingana na ukubwa wa yai)
[emoji117]Barkingpowder 1 kijiko kidogo
[emoji117] Maziwa vijiko 2 vya kula (kama utapenda sio lazma)
[emoji117]Vanila 1 kijiko kidogo.
Matayarisho:
[emoji117]Weka margarine kwenye chombo kisha ipige(ikoroge had iwe lain) then weka sukari alaf upige had vichanganyike vizuri na viwe lain.
[emoji117]Anza kuweka yai moja moja kwenye mchanganyiko wako wa margarine na sukari huku ukiupiga tena had mayai yote yaishe. Hakikisha mayai na mchanganyiko wako vimechenganyika vizuri.
[emoji117]Chukua unga wako changanya na barkingpowder alaf umimine kwenye mchanganyiko wako wa mayai, margarine na sukari baada ya hapo changanya had uakikishe vimechenganyika vizuri wala hakuna mabonge wa unga yaliyobaki.
[emoji117] Ongeza maziwa na vanila kisha ukoroge mchanganyiko wako.
Kuoka:
[emoji117]Chukua chombo chako cha kuokea ukipake margarine au mafuta kwa ndani (unaweza ongeza pia kupitisha unga wa ngano kidogo juu ya mafuta uliyopaka )
[emoji117]Mimina mchanyiko wako kwenye chombo chako kisha fanya kama una kipiga piga chin taratibu ili kuondoa hewa.
[emoji117]Oka keki yako kwenye oven au jiko la mkaa( kwa jiko la mkaa toa mkaa kwenye jiko ubakize kidogo then ubandike sufuria ambalo ndan yake kutakuwa na chombo chako chenye mchanganyiko alaf kwa juu ule mkaa ulioutoa uweke kwa juu kama vile unapalia wali.
[emoji117]Baada ya dakika 45-60 funua uangalie kama keki yako ineiva(utajua kama imeiva kwa kuichoma na kijiti katikati alaf kikatoka kikiwa kikavu.
[emoji117]Ipua subiria ipoe kidogo uitoe kwenye chombo chako alaf usubirie ipoe kabisaa
NB: ukikosea kimoja kwenye vipimo na moto umekosea keki yote.
Ulizidisha?[emoji122][emoji120]nimejitahidi kufuata hizi procedure japo nimechemka kwenye unga.
KidogooUlizidisha?
Pole ndio zilivyo yan ukimis kidogo tu kwenye vipimo lazma utoke tofautiKidogoo
[emoji16]Pole ndio zilivyo yan ukimis kidogo tu kwenye vipimo lazma utoke tofauti
Natamani siku moja niwe mgeni wako! Chapati za maji zinaita "Njoo njoo njoo"Mie mwenzenu sijui kupika chapati za kusukuma mpaka leo ila za kumimina nimo tu Evelyn Salt mwenzangu ushajua ??? Au ndio mikate ya yesu
Za hivi ukiniambia napika tu haraka au kalimati lakin vitu vya kukanda na kusukuma aiseee
View attachment 2040411
View attachment 2040415