Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Mimi aliyenifundisha kutumia samli ndio alimaliza kila kitu. Za kumimina mimi mwenyewe sijui halafu sio mpenzi ila hizi zako zimenivutiaa
Sasa nilivyokuwa mdogo nilikuwa napenda sana mafuta ya samli ila hapa juzi kati nimekula chapati zimeekewa mafuta ya samli zikanishinda kabisa Na kutapika juu
Ila napenda kujua chapati za kusukuma muda ndio sijapata
 
Kwa inavyonekana ,Moto umezidi au umepungua??
400012000515_249187.jpg
400012000997_248008.jpg
400026500189_11148.jpg
400019200918_156803.jpg
400020000257_132078.jpg
400025800388_66184.jpg
464824390_463383.jpg
400009100745_187219.jpg


400040800220_11379.jpg


400027200678_120666.jpg
 
Sasa si unaona..hii si nusu kabisa hii jamani. Halafu anakuja Behaviourist na mabango yake ya vitamin kutuhubiria. Sie wengine tunakula kushiba tu jamani mambo ya vitamin tunawaachieni ninyi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna sehemu nipo nakunywa green juice, kwa nyuma yangu kuna mteja nasikia analalamika kuwa kapunjwa pilau😁😁😁
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
👉Unga wa ngano 1/4
👉Sukari 1/4 (unaweza punguza kidogo)
👉Margarine (blueband) 1/4
👉Mayai 4-5 (kulingana na ukubwa wa yai)
👉Barkingpowder 1 kijiko kidogo
👉 Maziwa vijiko 2 vya kula (kama utapenda sio lazma)
👉Vanila 1 kijiko kidogo.

Matayarisho:

👉Weka margarine kwenye chombo kisha ipige(ikoroge had iwe lain) then weka sukari alaf upige had vichanganyike vizuri na viwe lain.
👉Anza kuweka yai moja moja kwenye mchanganyiko wako wa margarine na sukari huku ukiupiga tena had mayai yote yaishe. Hakikisha mayai na mchanganyiko wako vimechenganyika vizuri.
👉Chukua unga wako changanya na barkingpowder alaf umimine kwenye mchanganyiko wako wa mayai, margarine na sukari baada ya hapo changanya had uakikishe vimechenganyika vizuri wala hakuna mabonge wa unga yaliyobaki.
👉 Ongeza maziwa na vanila kisha ukoroge mchanganyiko wako.

Kuoka:
👉Chukua chombo chako cha kuokea ukipake margarine au mafuta kwa ndani (unaweza ongeza pia kupitisha unga wa ngano kidogo juu ya mafuta uliyopaka )
👉Mimina mchanyiko wako kwenye chombo chako kisha fanya kama una kipiga piga chin taratibu ili kuondoa hewa.
👉Oka keki yako kwenye oven au jiko la mkaa( kwa jiko la mkaa toa mkaa kwenye jiko ubakize kidogo then ubandike sufuria ambalo ndan yake kutakuwa na chombo chako chenye mchanganyiko alaf kwa juu ule mkaa ulioutoa uweke kwa juu kama vile unapalia wali.
👉Baada ya dakika 45-60 funua uangalie kama keki yako ineiva(utajua kama imeiva kwa kuichoma na kijiti katikati alaf kikatoka kikiwa kikavu.
👉Ipua subiria ipoe kidogo uitoe kwenye chombo chako alaf usubirie ipoe kabisaa

NB: ukikosea kimoja kwenye vipimo na moto umekosea keki yote.
 
[emoji117]Unga wa ngano 1/4
[emoji117]Sukari 1/4 (unaweza punguza kidogo)
[emoji117]Margarine (blueband) 1/4
[emoji117]Mayai 4-5 (kulingana na ukubwa wa yai)
[emoji117]Barkingpowder 1 kijiko kidogo
[emoji117] Maziwa vijiko 2 vya kula (kama utapenda sio lazma)
[emoji117]Vanila 1 kijiko kidogo.

Matayarisho:

[emoji117]Weka margarine kwenye chombo kisha ipige(ikoroge had iwe lain) then weka sukari alaf upige had vichanganyike vizuri na viwe lain.
[emoji117]Anza kuweka yai moja moja kwenye mchanganyiko wako wa margarine na sukari huku ukiupiga tena had mayai yote yaishe. Hakikisha mayai na mchanganyiko wako vimechenganyika vizuri.
[emoji117]Chukua unga wako changanya na barkingpowder alaf umimine kwenye mchanganyiko wako wa mayai, margarine na sukari baada ya hapo changanya had uakikishe vimechenganyika vizuri wala hakuna mabonge wa unga yaliyobaki.
[emoji117] Ongeza maziwa na vanila kisha ukoroge mchanganyiko wako.

Kuoka:
[emoji117]Chukua chombo chako cha kuokea ukipake margarine au mafuta kwa ndani (unaweza ongeza pia kupitisha unga wa ngano kidogo juu ya mafuta uliyopaka )
[emoji117]Mimina mchanyiko wako kwenye chombo chako kisha fanya kama una kipiga piga chin taratibu ili kuondoa hewa.
[emoji117]Oka keki yako kwenye oven au jiko la mkaa( kwa jiko la mkaa toa mkaa kwenye jiko ubakize kidogo then ubandike sufuria ambalo ndan yake kutakuwa na chombo chako chenye mchanganyiko alaf kwa juu ule mkaa ulioutoa uweke kwa juu kama vile unapalia wali.
[emoji117]Baada ya dakika 45-60 funua uangalie kama keki yako ineiva(utajua kama imeiva kwa kuichoma na kijiti katikati alaf kikatoka kikiwa kikavu.
[emoji117]Ipua subiria ipoe kidogo uitoe kwenye chombo chako alaf usubirie ipoe kabisaa

NB: ukikosea kimoja kwenye vipimo na moto umekosea keki yote.
[emoji122][emoji120]nimejitahidi kufuata hizi procedure japo nimechemka kwenye unga.
 
Back
Top Bottom