Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

...
IMG-20211207-WA0015.jpg
 
Niliona kule selfika rafiki.Halafu humble mwenye roho yake nzuri[emoji85][emoji85][emoji85]

Kitambi ni kuzidiwa tu mbinu kwa muda ila haiondoi upisi kali.
Mbona unanisifia sana rafiki unataka kuniomba nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Asante rafiki [emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Mbona unanisifia sana rafiki unataka kuniomba nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Asante rafiki [emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Rafiki mimi nitavumilia yanipite kwa sababu siwezi kuwa na kila kizuri kwenye dunia hii.Nitakaza moyo niyashinde majaribu🙈🙈🙈
 
Back
Top Bottom