Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
mkia wa ng'ombeHiki ni chakula gani!!?
Ahaa wachaga wanaita kidun'goimkia wa ng'ombe
[emoji23][emoji23][emoji23]nini hiziDaah[emoji24]View attachment 2078379
Sasa mbona umeunguza mtura?Daah[emoji24]View attachment 2078379
Kisamvu Maini, tualikane jamani
Anakera sana huyo,kongoro linatuokoa sana watu wa vyombo ye analiita majina mabayabayaKongoro, usituharibie jina la supu pendwa