Nyama ni tamu na chakula ni kitamu Sana piah,,,Sasa swala la jembe ndio nini sijakuelewa hapo kwenye jembe[emoji2]Nyama inaonekana tamu hii. Sio jembe kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyama ni tamu na chakula ni kitamu Sana piah,,,Sasa swala la jembe ndio nini sijakuelewa hapo kwenye jembe[emoji2]Nyama inaonekana tamu hii. Sio jembe kweli.
[emoji1787]Nyama ni tamu na chakula ni kitamu Sana piah,,,Sasa swala la jembe ndio nini sijakuelewa hapo kwenye jembe[emoji2]
Ni shin hio.Nyama inaonekana tamu hii. Sio jembe kweli.
Bora umeokoa jahazi aiseee maana mawazo yangu yalishahamia shamba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]
Kuna aina ya nyama inaitwa jembe. Mfupa wake mlaini. Very tasty [emoji39]
Baada ya kuelimishwa Sasa nimegundua sio jembe bali ni nyama ya kawaida tu kama nyama zingine inaitwa shin [emoji23]Nyama inaonekana tamu hii. Sio jembe kweli.
Na chai [emoji849][emoji849][emoji849]Mje tule wapendwaView attachment 2076233
Ee ndio sema hapo nakula chakula kwanza then nikimaliza ndio nakunywa hiyo chai.Na chai [emoji849][emoji849][emoji849]
Pole na hongera kuijua. Nyama nzuri sana hiyo kuipata uwahi sana buchani ndo utaikuta, au uongee na muuzaji akutunzie ukachukue kwa muda wako. Nyama nyingine nzuri ni kidari.Baada ya kuelimishwa Sasa nimegundua sio jembe bali ni nyama ya kawaida tu kama nyama zingine inaitwa shin [emoji23]
Oooh kumbe sawa nimekupataPole na hongera kuijua. Nyama nzuri sana hiyo kuipata uwahi sana buchani ndo utaikuta, au uongee na muuzaji akutunzie ukachukue kwa muda wako. Nyama nyingine nzuri ni kidari.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora umeokoa jahazi aiseee maana mawazo yangu yalishahamia shamba [emoji3][emoji3][emoji3]
Bila kusahau na shinPole na hongera kuijua. Nyama nzuri sana hiyo kuipata uwahi sana buchani ndo utaikuta, au uongee na muuzaji akutunzie ukachukue kwa muda wako. Nyama nyingine nzuri ni kidari.
Ukimaliza hapo hilo joto Lake halisemeki.Ee ndio sema hapo nakula chakula kwanza then nikimaliza ndio nakunywa hiyo chai.
Ahhahaa joto nitaenda kuoga ,mm chai napenda viungo vyake vile inanukia mchaiachai na irikiUkimaliza hapo hilo joto Lake halisemeki.
Ila mie nami siku hizi chai naipenda.
Kama hivyo hata wali nakulia na chai [emoji19]
Ukimaliza hapo hilo joto Lake halisemeki.
Ila mie nami siku hizi chai naipenda.
Kama hivyo hata wali nakulia na chai [emoji19]
Msela anatuwakilisha vyema! [emoji4][emoji4][emoji4]