Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_6312.jpg
 
Dada angu mbona mim nikipika wali hauwi mtamu...natumia rice cooking machine...ila akijaga mtoto wa kike hapa wali huwa mtamu sana..sasa sjui nakwama wap .au napunja sana maj nin...

Sent using Jamii Forums mobile app

Balance ya maji na mafuta

Binafsi napikia Ile pressure cooker (multi cooker)
Ila sijawahi toa wali mbovu kabisa, gas pia napikia bila tabu

Shida ipo kwenye Ugali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134]
 
Back
Top Bottom