Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20220123_140421.jpg
 
Halafu Mama wa mtu mmoja huwa ni Mama wa kila mtu kwa sababu Mama wote ni kitu kimoja.

Ukimwona mtu anamtukana Mama wa mtu mwingine jua huyo mtu hana akili kwa sababu hajui ya kwamba Mama wote ikiwa ni pamoja na Mama yake ni kitu kimoja.
unaanza kutukana watu ukirudishiwa unaanza kuitisha huruma za watu,mama ni mama ndio ila wewe pia usitukane watu,mada zako peleka jukwaa la afya simple.
 
Back
Top Bottom