Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Achana nae huyoHalafu Mama wa mtu mmoja huwa ni Mama wa kila mtu kwa sababu Mama wote ni kitu kimoja.
Ukimwona mtu anamtukana Mama wa mtu mwingine jua huyo mtu hana akili kwa sababu hajui ya kwamba Mama wote ikiwa ni pamoja na Mama yake ni kitu kimoja.