Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

hii inaruhusiwa kweli???
Hairuhusiwi, lakini mara moja moja watu wanapita na vyakula. Naweza kusema mimi ni Mtanzania wa kwanza kupita na mkate OR Thambo International Airport bila kukamatwa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hairuhusiwi, lakini mara moja moja watu wanapita ba vyakula. Naweza kusema mimi ni Mtanzania wa kwanza kupita na mkate OR Thambo International Airport bila kukamatwa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
hapo sawa mkuu
 
Mje na mirinda baridiii
FB_IMG_1643865381621.jpg
 
Jamaa vile vimisosi vya kwenye ndege hawavielewi, wameamua waingie na full package ya kwao![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Umeona eee...

Au unaweza kukuta Msosi wa kununua kama ujuavyo kwa baadhi ya Mashirika ya Ndege, kwahiyo kuokoa gharama wameamua wajipikie nyumbani na kusafiri nacho
 
Back
Top Bottom