Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Hairuhusiwi, lakini mara moja moja watu wanapita na vyakula. Naweza kusema mimi ni Mtanzania wa kwanza kupita na mkate OR Thambo International Airport bila kukamatwa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]hii inaruhusiwa kweli???