babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
We unapenda sana kujisosomola unakula mara saba kwa siku[emoji1787][emoji1787]
Hivi kumbe???🙄🙄🙄We unapenda sana kujisosomola unakula mara saba kwa siku[emoji1787][emoji1787]
Mkuu hizi marts ulinunulia wapi?, naona ziko vizuri sana na nzito. Msaada please.
Sikununua mie kwahiyo hata sijui. Ila nadhani ukizunguka kwenye haya maduka ya vyombo unaweka ukapata.Mkuu hizi marts ulinunulia wapi?, naona ziko vizuri sana na nzito. Msaada please.
Sent from my SM-N916S using JamiiForums mobile app
mke km mke sasa tunakaribia mario pol ukraina abiria funga mkanda
[emoji23][emoji23][emoji23]afu weweDah hilo neno kidogo linitoe kwenye reli[emoji2]