babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hamujambo wakulungwa?
Njaa hapa nna ndizi tu.
Alafu swali hivi mtu ukikata ule mlenda na kisu haifai🤔?
Maana huwa unanipotezea mzuka kukatika ntazunguruka nyumba nzima