Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipende kutoa shukurani za dhati kwa dada Eliza na niseme tu samahani sana kwa kuiba picha ila huu uzi una manufaa nimeupendaView attachment 2240613
Asante kwa kunichekesha maana siku yangu ilikuwa dull.... 🤣🤣🤣🤣Nipende kutoa shukurani za dhati kwa dada Eliza na niseme tu samahani sana kwa kuiba picha ila huu uzi una manufaa nimeupendaView attachment 2240613
Atakuja kuyavaa maswali😂😂😂😂Asante kwa kunichekesha maana siku yangu ilikuwa dull.... 🤣🤣🤣🤣
Ila uwe unazingatia ushauri wa Saint Anne ili usije ukajikuta unaulizwa maswali lukuki siku nyingine.😁😁
Hilo nimezingatia sana kuna moja nilishindwa kuitumia ile ya pilau sababu ya mikon na ile meza ya kioo sina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia tu usije kuwa hujaicrop vizuri,, Lizzy huwa anaachia vidole vya mikono sometimes.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Niko makini kuhusu hiloAsante kwa kunichekesha maana siku yangu ilikuwa dull.... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila uwe unazingatia ushauri wa Saint Anne ili usije ukajikuta unaulizwa maswali lukuki siku nyingine.[emoji16][emoji16]