HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Na uwe makini usije kuagiza Uyoga Mikoani wakaja kukuletea Uyoga usioliwa ule wa sumuLabda mikoani huku dsm mm sijawahi kuona japo sijawahi kuutafuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uwe makini usije kuagiza Uyoga Mikoani wakaja kukuletea Uyoga usioliwa ule wa sumuLabda mikoani huku dsm mm sijawahi kuona japo sijawahi kuutafuta.
Sasa belinda umeshibaje na hapo hizo zote mboga.😅😅😅Full kushiba
View attachment 2251718
Mkuu mafuta mengi kwelikweli!
Mara moja moja nikipata dinner late 😂Sasa belinda umeshibaje na hapo hizo zote mboga.😅😅😅
Nyama yenyewe ina mafuta mengi, kabla ya kula inabidi kuyachuja kwanzaMkuu mafuta mengi kwelikweli!
Supu ya Mchicha umenikumbusha mbali sana
Naona mambo ya Brown hapo
Tunaua ndege wawili kwa jiwe moja
Nimejikuta mama Diet nakunywa supu ya mchicha[emoji38]Supu ya Mchicha umenikumbusha mbali sana
NzuriNaona mambo ya Brown hapo