Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jisamaki pendwa.
Umetisha sana, hongera.Yummy[emoji7]View attachment 2255771
Inaokwa kienyeji mkuu,tunatumia mbinu za enzi za mwalimu wakati hakuna vifaa vya kisasa.Umetisha sana, hongera.
Sikuwahi kufahamu Keki unaweza kuioka kama umepalilia Wali
[emoji23][emoji23][emoji23]#HABARI Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanaume mmoja Ndirangu Wahome katika kaunti ya Nyandarua kwa tuhuma za kuwauzia watu sambusa za nyama ya mbwa bila wao kujua
Wananchi wa eneo hilo wanasema kwa muda mrefu wamekuwa wakila vitafunwa hivyo wanavyodai vilikuwa vitamu na ladha tofauti bila kujua kuwa ndani yake sio nyama ya kawaida inayotumikaView attachment 2254491
Ulifaidi