Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

1663302297531.png
 
Maarifa kidogo

Ukiona butcher ya NYAMA au SAMAKI hakuna INZI,, hiyo nyama au samaki itilie mashaka au Acha kununua ...

Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMAILIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuzia nzi .

Mfamasia mmoja Doctor Keneth mwanachama wa wafugaji , alisema ni kweli hili ni suala la Afya tu.

Baada ya rafiki yake kupoteza mtoto, baada ya uchunguzi kufanyika ikagundulika uwepo wa hiyo Kemikali ya formalin kuwepo katika damu ya mtoto.

Pale formalin ilipokuwa imeingia mwilini, inaenda moja kwa moja kwenye Ini nakuharibu . Ndio maana miaka ya hivi karibuni watu wengi wana matatizo ya ini

Tahadhali unapoenda Buchani kununua nyama ni kuwa seriously na usalama wa kununua nyama kwenye bucha lenye nzi!, uwepo inzi katika Bucha huo ni uthibitisho wa usalama wa nyama isiyokuwa na Kemikali ya formalin.

Kama nyama haifuatwi na inzi kinachofanya wasitue juu yake ni uwepo wa formalin.

Tafadhali kuwa mwangalifu okoa maisha ya mwingine kama nilivofanya kwako kwa kushare kwa wengine nao wapate kufahamu! Usalama wa nyama wanazo nunua
 
Back
Top Bottom