martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
Hizi ni sambusa??!
Za nyama??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni sambusa??!
Mkuu hizi ni bites gani? zinatamanisha sana.
PieMkuu hizi ni bites gani? zinatamanisha sana.
Mambo ya PIE hayo KiongoziHizi ni sambusa??!
Za nyama??
Binti kiziwi nakuzimia mbaya mbovu mpaka siku unipikie maspta sapta mtorojo kisha tufanye yetu ndo siku mkora ntajionaa mimi kachaa
Eliza I miss youKaribu 😊
Kwake yeye bado kingi.
Ewaa,potion ya lizzy hapo penye uwazi mi ndo nakaa utaweza?
😀Cha ugeniniView attachment 2353646
😄😄😄 Mkuu!Ewaa,potion ya lizzy hapo penye uwazi mi ndo nakaa utaweza?
Kwa kweli sitawezana. 😃Kwake yeye bado kingi.
Ongeza bidii ya kupunguza kipimo utamfikia
Kwanza we si umeniacha?? Ngoja nikatumikie taifa kwanza tutete baadae! 🤣Binti kiziwi nakuzimia mbaya mbovu mpaka siku unipikie maspta sapta mtorojo kisha tufanye yetu ndo siku mkora ntajionaa mimi kachaa
Eeh hapo binti kiziwi ndo pangu😉😅😅😅😄😄😄 Mkuu!