Upate na Mango passion juice ya bariiiiiidi.View attachment 2469045
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemfollow, kipindi ana restaurant yake Mwanza pale U-turn nilikuwa mteja wake sana. Mpaka leo nakula kwa macho tuu kwenye post zake.Huhu umemfollow foodlover?
Malimao😅🤣 sina uhakika lakini.Ni juice gani zinapunguza mwili na tumbo ?
Anajua kupikaNimemfollow, kipindi ana restaurant yake Mwanza pale U-turn nilikuwa mteja wake sana. Mpaka leo nakula kwa macho tuu kwenye post zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikunywa juice ya ukwaju uwiii koo kama limechubuka hiviiMalimao😅🤣 sina uhakika lakini.
Wataalamu wajuice watusaidie.Nilikunywa juice ya ukwaju uwiii koo kama limechubuka hivii
Karot na tangoNi juice gani zinapunguza mwili na tumbo ?
Mideko. Sjui unani crushia😋,una like post zangu kila siku hasa za miaka ya 2017-21 ,nifungukie tu Mama,be a Hell of a Lady😀, kama nakuona unavoeleza hisia zako😋View attachment 1665697
sijui ni skonzi au mkate ila ni tamu mno[emoji39]
Let love lead[emoji173]View attachment 2470111View attachment 2470112
Binti wa watu sijuinimemfanya nini[emoji7], Love is indeed a crime